Ifahamu Tafsiri ya Qur-an
When things are too hard to handle, retreat & count your blessings instead
Fuatilia sasa
Know the Real Tafseer of Quran
When things are too hard to handle, retreat & count your blessings instead
Quran Online
Karibu Maslak Salam
Maslak Salam ni kituo cha Kiislamu kilichoanzishwa kwa nia ya kuchangia ustawi wa kiroho, kijamii na kimaadili wa Waislamu kwa njia ya elimu sahihi, nasaha zenye hekima, na huduma halali zinazozingatia Qur’an na Sunnah.
Tunaamini kuwa jamii yenye mwongozo wa kidini, hufikia utulivu wa ndani na maelewano ya nje. Ndiyo maana tunajitahidi kuwa sehemu ya mabadiliko chanya kwa kuwahudumia watu kwa upendo, huruma na uadilifu.
Kupitia majukwaa yetu ya darsa, khutba, nasaha, na tiba tunalenga kufikia nyoyo na akili za watu kwa njia ya ufanisi na uwazi.
Tunaisaidia Jamii
Darsa za Dini
Provide rehab facility dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eius
Read MoreFuneral Service
Provide rehab facility dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eius
Read MoreMosque Renovation
Provide rehab facility dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eius
Read MoreHuduma kwa Jamii
Provide rehab facility dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eius
Read MoreWe Need your help.
People suffering from hunger amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore pariatur located in Syria, Iraq and Kenya.
Tuungane Pamoja
Karibu uwe sehemu ya Maslak Salam. Unaweza kujifunza, kushauriwa, kushiriki darsa, au hata kuchangia huduma za kijamii. Tupo kwa ajili ya kuihudumia jamii kwa nia ya kutafuta radhi za Allah (SW)
Jummah 1
Start: 01:30 PM
Iqamah: 02:00 PM
Dua will be offered right after the prayer
Jummah 2
Start: 02:00 PM
Iqamah: 02:30 PM
Dua will be offered right after the prayer